\p \v=5 \v~=Kisha wakamwambia Yeremia, “\nd Bwana\nd* na awe shahidi wa kweli na mwaminifu kati yetu kama hatutafanya sawasawa na kila kitu \nd Bwana\nd* Mungu wako atakachokutuma utuambie. \¬v