\v=13 \v~=Humo ndani ya hekalu la jua\f + \fr 43:13 \ft Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).\f* nchini ya Misri atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ” \¬v \¬p \¬c