\p \v=4 \v~=Basi Yohanani mwana wa Karea, na maafisa wote wa jeshi, na watu wote wakakataa kutii amri ya \nd Bwana\nd* ya kukaa katika nchi ya Yuda. \¬v