\v=23 \v~=Kwa sababu mmefukiza uvumba na kufanya dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd*, nanyi hamkumtii wala kufuata sheria yake au amri zake au maagizo yake, maafa haya yamekuja juu yenu, kama mnavyoona sasa.” \¬v \¬p