\p \v=24 \v~=Kisha Yeremia akawaambia watu wote, pamoja na wanawake, “Sikieni neno la \nd Bwana\nd*, enyi watu wote wa Yuda mlioko Misri. \¬v