\v=26 \v~=Lakini sikieni neno la \nd Bwana\nd*, enyi Wayahudi wote mnaoishi Misri: ‘Ninaapa kwa Jina langu lililo kuu,’ asema \nd Bwana\nd*, ‘kwamba hakuna hata mmoja atokaye Yuda anayeishi popote Misri ambaye kamwe ataomba tena kwa Jina langu au kuapa, akisema, “Hakika kama \nd Bwana\nd* Mwenyezi aishivyo.” \¬v