\p \v=29 \v~=“ ‘Hii itakuwa ndiyo ishara kwenu kwamba nitawaadhibu mahali hapa, asema \nd Bwana\nd*, ili mpate kujua kuwa onyo langu la madhara dhidi yenu hakika litatimizwa.’ \¬v