\p \v=4 \v~=\nd Bwana\nd* akasema, “Mwambie hivi: ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Nitakibomoa kile nilichokijenga, na kungʼoa kile nilichokipanda katika nchi yote. \¬v