\v=5 \v~=Je, utajitafutia mambo makubwa kwa ajili yako mwenyewe? Usiyatafute hayo. Kwa kuwa nitaleta maangamizi juu ya watu wote, asema \nd Bwana\nd*, lakini popote utakapokwenda, nitayaokoa maisha yako.’ ” \¬v \¬p \¬c