\p \v=13 \v~=Huu ndio ujumbe \nd Bwana\nd* aliomwambia nabii Yeremia kuhusu kuja kwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri: \¬v \¬p