\p \v=12 \v~=Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: “Kama wale wasiostahili kukinywea kikombe ni lazima wakinywe, kwa nini wewe usiadhibiwe? Hutakwepa kuadhibiwa, ni lazima ukinywe. \¬v