\v=13 \v~=Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema \nd Bwana\nd*, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” \¬v \¬p