\p \v=10 \v~=Ndipo niliposema, “Aa, \nd Bwana\nd* Mwenyezi, umewadanganyaje kabisa watu hawa na Yerusalemu kwa kusema, ‘Mtakuwa na amani,’ wakati upanga uko kwenye koo zetu!” \¬v \¬p