\p \v=24 \v~=“Mbele ya macho yako nitamlipiza Babeli na wote waishio Ukaldayo kwa ajili ya makosa yote waliyofanya katika Sayuni,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p