\p \v=17 \v~=Wakaldayo walivunja vipande zile nguzo za shaba, vile vishikilio vya shaba vilivyohamishika, na ile Bahari ya shaba, ambavyo vyote vilikuwa katika Hekalu la \nd Bwana\nd*. Hivyo wakaichukua hiyo shaba yote na kuipeleka Babeli. \¬v