\v=19 \v~=“Nao watu watakapouliza, ‘Kwa nini \nd Bwana\nd*, Mungu wetu ametufanyia mambo haya yote?’ utawaambia, ‘Kama vile mlivyoniacha mimi na kutumikia miungu migeni katika nchi yenu wenyewe, ndivyo sasa mtakavyowatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.’ \¬v \¬p