\v=13 \v~=Mlipokuwa mnafanya yote haya, asema \nd Bwana\nd*, nilisema nanyi tena na tena, lakini hamkusikiliza; niliwaita, lakini hamkujibu. \¬v