\v=17 \v~=Je, huyaoni hayo wanayoyatenda katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu? \¬v