\p \v=20 \v~=“ ‘Kwa hiyo hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd* Mwenyezi: Hasira yangu na ghadhabu yangu itamwagwa mahali hapa, juu ya mwanadamu na mnyama, juu ya miti ya shambani na juu ya matunda ya ardhini, nayo itaungua pasipo kuzimwa. \¬v \¬p