\p \v=21 \v~=“ ‘Hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Endeleeni, ongezeni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya dhabihu zenu nyingine, mle nyama hiyo wenyewe! \¬v