\v=28 \v~=Kwa hiyo waambie, ‘Hili ni taifa ambalo halimtii \nd Bwana\nd*, Mungu wao, wala kukubali maonyo. Kweli imekufa, imetoweka midomoni mwao. \¬v