\v=29 \v~=Nyoeni nywele zenu na kuzitupa, ombolezeni katika miinuko iliyo kame, kwa kuwa \nd Bwana\nd* amekikataa na kukiacha kizazi hiki kilichomkasirisha. \¬v \¬p