\v=32 \v~=Kwa hiyo mjihadhari, siku zinakuja, asema \nd Bwana\nd*, wakati watu watakapokuwa hawapaiti Tofethi au Bonde la Ben-Hinomu, lakini watapaita Bonde la Machinjo, kwa sababu watawazika wafu huko Tofethi mpaka pasiwe tena nafasi. \¬v