\p \c#=8 \v=1 \v~=“ ‘Wakati huo, asema \nd Bwana\nd*, mifupa ya wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, na mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka makaburi yao. \¬v