\p \v=14 \v~=\wj “Mimi ndimi mchungaji mwema. Ninawajua kondoo wangu nao kondoo wangu wananijua.\wj* \¬v