\p \v=25 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia.\wj* \¬v