\p \v=34 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Je, haikuandikwa katika Sheria ya kwamba, ‘Nimesema kuwa, ninyi ni miungu?’\wj* \¬v