\p \v=7 \v~=Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, \wj “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo.\wj* \¬v