\p \v=11 \v~=Baada ya kusema haya, Yesu akawaambia, \wj “Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini naenda kumwamsha.”\wj* \¬v \¬p