\v=18 \v~=Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,\f + \fr 11:18 \ft Maili mbili ni kama kilomita tatu.\f* \¬v