\p \v=27 \v~=Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo,\f + \fr 11:27 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.” \¬v \¬p