\p \v=4 \v~=Lakini Yesu aliposikia hayo, akasema, \wj “Ugonjwa huu hautaleta mauti bali umetokea ili kudhihirisha utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu apate kutukuzwa kutokana na ugonjwa huu.”\wj* \¬v