\p \v=41 \v~=Kwa hiyo wakaliondoa lile jiwe kutoka kaburini. Yesu akainua macho yake juu akasema, \wj “Baba, ninakushukuru kwa kuwa wanisikia.\wj* \¬v