\p \v=9 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu.\wj* \¬v