\v=3 \v~=Kisha Maria akachukua chupa ya painti moja\f + \fr 12:3 \ft Painti moja ni kama nusu lita.\f* yenye manukato ya nardo\f + \fr 12:3 \ft Nardo ni aina ya mafuta yaliyokuwa yanatengenezwa kutokana na mimea yenye mizizi inayotoa harufu nzuri.\f* safi ya thamani kubwa, akayamimina miguuni mwa Yesu na kuifuta kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu nzuri ya manukato. \¬v \¬p