\p \v=34 \v~=Ule umati wa watu ukapiga kelele ukasema, “Tumesikia kutoka Sheria kwamba ‘Kristo\f + \fr 12:34 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* adumu milele,’ wewe wawezaje kusema, \wj ‘Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu’\wj*? Huyu ‘Mwana wa Adamu’ ni nani?” \¬v \¬p