\v=36 \v~=\wj Wekeni tumaini lenu katika nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru.”\wj* Baada ya kusema haya, Yesu aliondoka, akajificha wasimwone. \¬v \¬p