\v=5 \v~=“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300\f + \fr 12:5 \ft Dinari 300 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 300.\f* na fedha hizo wakapewa maskini?” \¬v