\p \v=26 \v~=Yesu akajibu, \wj “Ni yule nitakayempa hiki kipande cha mkate baada ya kukichovya kwenye bakuli.”\wj* Hivyo baada ya kukichovya kile kipande cha mkate, akampa Yuda Iskariote, mwana wa Simoni. \¬v