\p \v=38 \v~=Yesu akamjibu, \wj “Je, ni kweli uko tayari kuutoa uhai wako kwa ajili yangu? Amin, amin nakuambia, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”\wj* \¬v \¬p \¬c