\v=16 \v~=\wj Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele.\wj* \¬v