\p \v=23 \v~=Yesu akamjibu, \wj “Mtu yeyote akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake na kufanya makao yetu kwake.\wj* \¬v