\p \v=6 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.\wj* \¬v