\p \v=19 \v~=Yesu akatambua kuwa walitaka kumuuliza juu ya hilo, hivyo akawaambia, \wj “Je, mnaulizana nina maana gani niliposema, ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona’?\wj* \¬v