\p \v=11 \v~=Yesu akamwambia Petro, \wj “Rudisha upanga wako kwenye ala yake. Je, hainipasi kukinywea kikombe alichonipa Baba?”\wj* \¬v \¬p