\p \v=23 \v~=Yesu akamjibu akasema, \wj “Kama nimesema jambo baya, shuhudia huo ubaya niliousema. Lakini kama nimesema yaliyo kweli, mbona umenipiga?”\wj* \¬v