\p \v=11 \v~=Ndipo Yesu akamwambia, \wj “Wewe hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa kutoka juu. Kwa hiyo yeye aliyenitia mikononi mwako ana hatia ya dhambi iliyo kubwa zaidi.”\wj* \¬v \¬p