\v=30 \v~=Baada ya kuionja hiyo siki, Yesu akasema, \wj “Imekwisha.”\wj* Akainamisha kichwa chake, akaitoa roho yake. \¬v \¬p