\v=34 \v~=Badala yake mmoja wa wale askari akamchoma mkuki ubavuni na mara pakatoka damu na maji. \¬v