\v=20 \v~=Yohana alikiri waziwazi pasipo kuficha akasema, “Mimi si Kristo.”\f + \fr 1:20 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* \¬v \¬p